Nenda kwa yaliyomo

Papa Lucius I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Lucius I.

Papa Lucius I alikuwa Papa kuanzia Juni au Julai 253 hadi kifo chake tarehe 5 Machi 254[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Kornelio akafuatwa na Papa Stefano I.

Kwa imani yake kwa Kristo, mara baada ya kuwekwa wakfu alipelekwa uhamishoni, lakini aliwahi kurudishwa, akatoa ushahidi wake kwa kukabili kwa upole na busara matatizo ya wakati wake[2].

Sipriani wa Carthago alimsifu [3] kwa kukataa msimamo mkali wa wafuasi wa Novasyano dhidi ya waliowahi kuasi ili kuokoa uhai wao.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe ya kifo chake[4][5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. Kirsch, Johann Peter (1910). "Pope St. Lucius I" in The Catholic Encyclopedia. Vol. 9. New York: Robert Appleton Company.
  3. (see Epist. lxviii. 5)
  4. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  5. He is commemorated in the Roman Martyrology in the following terms: "In the cemetery of Callistus on the Via Appia, Rome, burial of Saint Lucius, Pope, successor of Saint Cornelius. For his faith in Christ he suffered exile and acted as an outstanding confessor of the faith, with moderation and prudence, in the difficult times that were his." In Latin: "Romae via Appia in coemeterio Callisti, depositio sancti Lucii, papae, qui, sancti Cornelii successor, pro Christi fide exsilium passus est et, fidei confessor eximius, in angustiis tempestatibus suis moderatione ac prudentia se gessit" [Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN|978-88-209-7210-3), die 5 martii].

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Lucius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.