Papa Boniface III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Bonifasi III)
Papa Bonifasi III.

Papa Boniface III alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Februari 607 hadi kifo chake tarehe 10 Novemba 607[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Alimfuata Papa Sabiniano akafuatwa na Papa Bonifasi IV.

Ingawa aliongoza muda mfupi, alichangia sana uimarishaji wa miundo ya Kanisa Katoliki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Ekonomou, Andrew J. 2007. Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752. Lexington Books.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.