Papa Adrian II
(Elekezwa kutoka Papa Adriano II)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Adrian II (792 – 14 Desemba 872) alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Desemba 867 hadi kifo chake.
Alimfuata Papa Nikolasi I akafuatwa na Papa Yohane VIII.
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |