Papa Urban VII
(Elekezwa kutoka Papa Urbano VII)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Urban VII (4 Agosti 1521 – 27 Septemba 1590) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15 Septemba 1590 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Castagna.
Alimfuata Papa Sixtus V akafuatwa na Papa Gregori XIV.
Alipatwa na malaria na kufariki kabla hajavishwa taji la Kipapa.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |