Papa Sixtus V
Jump to navigation
Jump to search
Papa Sixtus V, O.F.M.Conv. (13 Desemba 1521 – 27 Agosti 1590) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Aprili 1585 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Felice Peretti.
Alimfuata Papa Gregori XIII akafuatwa na Papa Urbano VII.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |