27 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1821 - Hispania inatambua uhuru wa Mexiko katika mkataba wa Cordoba
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1856 - Karl Peters, mwanzilishi wa koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
- 1918 - Martin Ryle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974)
- 1976 - Francesco Totti, mchezaji wa kandanda wa Uitalia
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1557 - Go-Nara, mfalme mkuu wa Japani (1526-1557)
- 1590 - Papa Urban VII
- 1700 - Papa Innocent XII
- 1940 - Julius Wagner-Jauregg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1927)