Orodha ya mapapa
Mandhari
(Elekezwa kutoka Orodha ya mapapa watakatifu)
Orodha hii inataja Mapapa wote wa Kanisa Katoliki. Jina rasmi la cheo hicho kwa Kilatini ni Episcopus Romanus, maana yake Askofu wa Roma.
Inawezekana kuwa Hermannus Contractus alikuwa mwanahistoria wa kwanza kuorodhesha Mapapa bila kuacha pengo. Orodha yake ilikwenda hadi mwaka wa 1049 ikimtaja Papa Leo IX kama Papa wa 154. Kulingana na hesabu hiyo, Papa wa sasa, Fransisko ni papa wa 268.
Hakuna orodha rasmi ya mapapa, ila kitabu cha Annuario Pontificio kinachotolewa na Vatikano kila mwaka kina orodha inayoangaliwa kama rasmi. Kulingana na kitabu hicho, Fransisko ni papa wa 266[1].
Orodha ya Mapapa
[hariri | hariri chanzo]Kuanzia 30 hadi 250
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya upapa | Jina rasmi | Jina la Kilatini | Jina la kuzaliwa | Mahali pa kuzaliwa | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|
30 – 64/67 | Petro Mtakatifu Petro |
Petrus, Apostolus | שמעון בן יונה (Shimon ben Yona) Shimon Kipha, CΙΜΗΟΝ ΚΗΦΑC (Simeon Kephas - Simoni Mwamba - Simoni Petro) |
Bethsaida, Galilaya | Mtume wa Yesu ambaye alimpa funguo za Ufalme wa Mbinguni, kufuatana na Injili ya Mathayo 16:18-19. Alisulubiwa kichwa chini miguu juu; sikukuu yake ni 29 Juni |
68(?) – 79(?) | Linus Mtakatifu Linus |
Linus, Episcopus Romanus | Linus | Toscana (Italia ya Kati) | Sikukuu yake ni 23 Septemba |
80(?) – 92 | Anacletus (Cletus) Mtakatifu Anacletus |
Anacletus, Episcopus Romanus | Anacletus | Roma au Ugiriki | Alifia dini; sikukuu yake ni 26 Aprili |
92 – 96/99 | Klementi I Mtakatifu Klemens I |
Clemens, Episcopus Romanus | Roma | Alifia dini; sikukuu yake ni 23 Novemba | |
96/99 – 108 | Evaristus (Aristus) Mtakatifu Evaristus |
Evaristus, Episcopus Romanus | Aristus | Mgiriki | Inasemekana alifia dini (ila haijathibitishwa); sikukuu yake ni 26 Oktoba |
108/109 – 116/119 | Alexander I Mtakatifu Alexander |
Alexander, Episcopus Romanus | Alexander | Roma | Sikukuu yake ni 3 Mei |
117/119 – 126/128 | Sixtus I Mtakatifu Sixtus |
Xystus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 6 Aprili | |
127/128 – 137/138 | Telesfori Mtakatifu Telesfori |
Telesphorus, Episcopus Romanus | Ugiriki | Sikukuu yake ni 5 Januari | |
138 – 142/146 | Hyginus Mtakatifu Hyginus |
Hyginus, Episcopus Romanus | Ugiriki | Inasemekana alifia dini (ila haijathibitishwa); sikukuu yake ni 11 Januari | |
142/146 – 157/161 | Pius I Mtakatifu Pius |
Pius, Episcopus Romanus | Aquileia, Friuli, Italia | Alifia dini kwa panga; sikukuu yake ni 11 Julai | |
157 – 163/168 | Anicetus Mtakatifu Anicetus |
Anicetus, Episcopus Romanus | Emesa, Syria | Inasemekana alifia dini (ila haijathibitishwa); sikukuu yake ni 17 Aprili | |
166 hivi– 170/177 | Soter Mtakatifu Soter |
Soterius, Episcopus Romanus | Fondi, Lazio, Italia | Inasemekana alifia dini; sikukuu yake ni 22 Aprili | |
171/177 – 185/193 | Eleuteri Mtakatifu Eleutherus |
Eleutherius, Episcopus Romanus | Nikopoli, Epyrus | Inasemekana alifia dini; sikukuu yake ni 6 Mei | |
186/189 – 197/201 | Viktor I Mtakatifu Vikta |
Victor, Episcopus Romanus | Afrika ya Kaskazini | Sikukuu yake ni 28 Julai | |
198/201 – 217/218 | Zefirino Mtakatifu Zefirino |
Zephyrinus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 20 Desemba | |
218 – 222 | Kalisti I Mtakatifu Kalisti I |
Callistus, Episcopus Romanus | Alifia dini; sikukuu yake ni 14 Oktoba | ||
222 – 230 | Urban I Mtakatifu Urban I |
Urbanus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 25 Mei | |
21 Julai 230 – 28 Septemba 235 | Ponsyano Mtakatifu Ponsyano |
Pontianus, Episcopus Romanus | Roma | Alifia dini; sikukuu yake ni 13 Agosti | |
21 Novemba 235 – 3 Januari 236 | Anterus Mtakatifu Anterus |
Anterus, Episcopus Romanus | Ugiriki | Sikukuu yake ni 3 Januari | |
10 Januari 236 – 20 Januari 250 | Fabiani Mtakatifu Fabiani |
Fabianus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 20 Januari |
Kuanzia 251 hadi 514
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya upapa | Jina rasmi | Jina la Kilatini | Jina la kuzaliwa | Mahali pa kuzaliwa | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|
Machi 251 – Juni 253 | Korneli Mtakatifu Korneli |
Cornelius, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 16 Septemba | |
25 Juni 253 – 5 Machi 254 | Lucius I Mtakatifu Lucius I |
Lucius, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 4 Machi | |
12 Machi 254 – 2 Agosti 257 | Stefano I Mtakatifu Stefano I |
Stephanus, Episcopus Romanus | Roma | Alifia dini kwa kukatwa kichwa; sikukuu yake ni 2 Agosti | |
30 Agosti 257 – 6 Agosti 258 | Sixtus II Mtakatifu Sixtus II |
Xystus Secundus, Episcopus Romanus | Ugiriki | Alifia dini kwa kukatwa kichwa; sikukuu yake ni 7 Agosti | |
22 Julai 259 – 26 Desemba 268 | Dionysius Mtakatifu Dionisi |
Dionysius, Episcopus Romanus | labda Ugiriki | Sikukuu yake ni 26 Desemba | |
5 Januari 269 – 30 Desemba 274 | Felix I Mtakatifu Felisi I |
Felix, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 30 Desemba | |
4 Januari 275 – 7 Desemba 283 | Eutikiani Mtakatifu Eutikiani |
Eutychianus, Episcopus Romanus | Luni | Sikukuu yake ni 8 Desemba | |
17 Desemba 283 – 22 Aprili 296 | Kaio Mtakatifu Kaio |
Caius, Episcopus Romanus | Dalmatia | Sikukuu yake ni 22 Aprili | |
30 Juni 296 – 25 Oktoba 304 | Marcellinus Mtakatifu Marselino |
Marcellinus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 26 Aprili | |
306 – 16 Januari 309 | Marcellus I Mtakatifu Marcellus I |
Marcellus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 16 Januari | |
18 Aprili 309 – 17 Agosti 309 hivi | Eusebius Mtakatifu Eusebius |
Eusebius, Episcopus Romanus | Ugiriki | Sikukuu yake ni 26 Septemba | |
2 Julai 311 – 10 Januari 314 | Miltiades Melchiades Mtakatifu Melkiades |
Miltiades, Episcopus Romanus | Afrika | Papa wakati wa Hati ya Milano kutolewa na Konstantino Mkuu (313 BK). Sikukuu yake ni 10 Januari | |
31 Januari 314 – 31 Desemba 335 | Silvesta I Mtakatifu Silvesta I |
Silvester, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 31 Desemba au 2 Januari | |
18 Januari 336 – 7 Oktoba 336 | Marko Mtakatifu Marko |
Marcus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 7 Oktoba | |
6 Februari 337 – 12 Aprili 352 | Julius I Mtakatifu Julius |
Iulius, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 12 Aprili | |
17 Mei 352 – 24 Septemba 366 | Liberius | Liberius, Episcopus Romanus | Roma | Papa wa kwanza ambaye haheshimiwi kama mtakatifu | |
1 Oktoba 366 – 11 Desemba 384 | Damasus I Mtakatifu Damasi I |
Damasus, Episcopus Romanus | Idanha-a-Nova, Ureno | Papa wa kwanza kutoka Ureno. Sikukuu yake ni 11 Desemba | |
Desemba 384 – 26 Novemba 399 | Siricius Mtakatifu Sirisi |
Papa Siricius, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 26 Novemba | |
27 Novemba 399 – 19 Desemba 401 | Anastasius I Mtakatifu Anastasi I |
Papa Anastasius, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 19 Desemba | |
22 Desemba 401 – 12 Machi 417 | Inosenti I Mtakatifu Inosenti I |
Papa Innocentius, Episcopus Romanus | Albano, Lazio | Sikukuu yake ni 12 Machi au 28 Julai | |
18 Machi 417 – 26 Desemba 418 | Zosimus Mtakatifu Zosimus |
Papa Zosimus, Episcopus Romanus | Ugiriki | Sikukuu yake ni 27 Desemba | |
28/29 Desemba 418 – 4 Septemba 422 | Bonifasi I Mtakatifu Bonifasi I |
Papa Bonifacius, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 4 Septemba | |
10 Septemba 422 – 27 Julai 432 | Selestini I Mtakatifu Selestini I |
Papa Coelestinus, Episcopus Romanus | Campania | Sikukuu yake ni 6 Aprili au 8 Aprili | |
31 Julai 432 – 19 Agosti 440 | Sixtus III Mtakatifu Sixtus III |
Papa Xystus Tertius, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 28 Machi | |
29 Septemba 440 – 10 Novemba 461 | Leo I Mtakatifu Leo I Leo Mkuu |
Papa Leo Magnus, Episcopus Romanus | Toscana | Mwalimu wa Kanisa. Alimshawishi Attila kuacha uvamizi wa Italia; sikukuu yake ni 10 Novemba | |
19 Novemba 461 – 29 Februari 468 | Hilarius Mtakatifu Hilarius |
Papa Hilarius, Episcopus Romanus | Sardegna | Sikukuu yake ni 17 Novemba au 28 Februari | |
3 Machi 468 – 10 Machi 483 | Simplicius Mtakatifu Simplisi |
Papa Simplicius, Episcopus Romanus | Tivoli, Italia | Sikukuu yake ni 10 Machi | |
13 Machi 483 – 25 Februari au 1 Machi 492 | Felix III Mtakatifu Felisi III |
Papa Felix Tertius, Episcopus Romanus | Roma | Pengine huhesabiwa kama Felix II. Sikukuu yake ni 1 Machi | |
1 Machi 492 – 21 Novemba 496 | Gelasius I Mtakatifu Gelasius I |
Papa Gelasius, Episcopus Romanus | Afrika | Sikukuu yake ni 21 Novemba | |
24 Novemba 496 – 19 Novemba 498 | Anastasius II | Papa Anastasius Secundus, Episcopus Romanus | Roma | ||
22 Novemba 498 – 19 Julai 514 | Simako Mtakatifu Simako |
Papa Symmachus, Episcopus Romanus | Sardinia | Sikukuu yake ni 19 Julai |
Kuanzia 514 hadi 752
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya upapa | Jina rasmi | Jina la Kilatini | Jina la kuzaliwa | Mahali pa kuzaliwa | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|
20 Julai 514 – 6 Agosti 523 | Hormisdas Mtakatifu Hormisdas |
Papa Hormisdas, Episcopus Romanus | Frosinone, Lazio, Italia | Baba mzazi wa Papa Silverius; sikukuu yake ni 6 Agosti | |
13 Agosti 523 – 18 Mei 526 | Yohane I Mtakatifu Yohane I |
Papa Ioannes, Episcopus Romanus | Toscana, Italia ya Kati | Sikukuu yake ni 18 Mei | |
12 Julai 526 – 20 au 22 Septemba 530 | Felix IV Mtakatifu Felisi IV |
Papa Felix Quartus, Episcopus Romanus | Samnium (Italia Kusini) | Mara nyingine huhesabiwa kama Felix III | |
20 au 22 Septemba 530 – 17 Oktoba 532 | Bonifasi II | Papa Bonifacius Secundus, Episcopus Romanus | Roma; wazazi wake walikuwa Waostrogothi | Sikukuu yake ni 22 Septemba | |
2 Januari 533 – 8 Mei 535 | Yohane II | Papa Ioannes Secundus, Episcopus Romanus | Mercurius | Roma | Papa wa kwanza asiyetumia jina lake la kuzaliwa. Sababu ilikuwa kwamba “Mercurius” ni jina la mungu wa Kiroma. |
13 Mei 535 – 22 Aprili 536 | Agapiti I Agapitus Mtakatifu Agapiti I |
Papa Agapetus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 22 Aprili au 20 Septemba | |
8 Juni 536 – 11 Novemba (?) 537 | Silverius Mtakatifu Silverius |
Papa Silverius, Episcopus Romanus | Frosinone | Mwana wa Papa Hormisdas, alipelekwa uhamishoni; sikukuu yake ni 20 Juni. | |
29 Machi 537 – 7 Juni 555 | Vigilius | Papa Vigilius, Episcopus Romanus | Roma | ||
16 Aprili 556 – 4 Machi 561 | Pelagius I | Papa Pelagius, Episcopus Romanus | Roma | ||
17 Julai 561 – 13 Julai 574 | Yohane III | Papa Ioannes Tertius, Episcopus Romanus | Catelinus | ||
2 Juni 575 – 30 Julai 579 | Benedikto I | Papa Benedictus, Episcopus Romanus | Roma | ||
26 Novemba 579 – 7 Februari 590 | Pelagius II | Papa Pelagius Secundus, Episcopus Romanus | Roma | ||
3 Septemba 590 – 12 Machi 604 | Gregori I, O.S.B. (?) Mtakatifu Gregori I Gregori Mkuu |
Papa Gregorius Magnus, Episcopus Romanus | Roma | Mwalimu wa Kanisa. Alikuwa Papa wa kwanza kupitia umonaki na kujiita "Servus servorum Dei" (yaani, Mtumishi wa watumishi wa Mungu) mbali ya "Pontifex Maximus". Sikukuu yake ni 3 Septemba | |
13 Septemba (?) 604 – 22 Februari 606 | Sabiniani |
Papa Sabinianus, Episcopus Romanus | Blera, Viterbo, Italia | ||
19 Februari 607 – 10 Novemba 607 | Bonifasi III | Papa Bonifacius Tertius, Episcopus Romanus | Roma | ||
25 Agosti 608 – 8 Mei 615 | Bonifasi IV, O.S.B. Mtakatifu Bonifasi IV |
Papa Bonifacius Quartus, Episcopus Romanus | Marsi, Italia | Papa wa kwanza aliyetumia jina la Papa aliyemtangulia. Sikukuu yake ni 25 Mei | |
19 Oktoba 615 – 8 Novemba 618 | Adeodatus I | Papa Adeodatus, au Papa Deusdedit Episcopus Romanus |
Roma | Mara nyingine huhesabiwa kama Deusdedit, halafu Papa Adeodatus II huitwa Papa Adeodatus bila namba | |
23 Desemba 619 – 23 Oktoba 625 | Papa Bonifasi V | Papa Bonifacius Quintus, Episcopus Romanus | Napoli, Italia | ||
27 Oktoba 625 – 12 Oktoba 638 | Honorius I | Papa Honorius, Episcopus Romanus | Campania | ||
Oktoba 638/28 Mei 640 – 2 Agosti 640 | Severinus | Papa Severinus, Episcopus Romanus | Roma | ||
Agosti au 24 Desemba 640 – 12 Oktoba 642 | Yohane IV | Papa Ioannes Quartus, Episcopus Romanus | Zadar, Dalmatia, siku hizi Kroatia | ||
12 Oktoba au 24 Novemba 642 – 14 Mei 649 | Theodoro I | Papa Theodorus, Episcopus Romanus | Yerusalemu, Israeli/Palestina | ||
5 Julai 649 – 16 Septemba 655 | Martin I Mtakatifu Martin I |
Papa Martinus, Episcopus Romanus | Todi, Umbria | Mfiadini. Sikukuu yake ni 13 Aprili | |
10 Agosti 654 – 2 Juni 657 | Eugenio I Mtakatifu Eugenio I |
Papa Eugenius, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 2 Juni | |
30 Julai 657 – 27 Januari 672 | Vitalian Mtakatifu Vitalian |
Papa Vitalianus, Episcopus Romanus | Segni, Lazio, Italia | Sikukuu yake ni 27 Januari au 23 Julai | |
11 Aprili 672 – 16 Juni 676 | Adeodatus II, O.S.B. | Papa Adeodatus Secundus, Episcopus Romanus | Roma | Pengine huhesabiwa kama Papa Adeodatus (bila namba) ikiwa Papa Adeodatus I huitwa Papa Deusdedit | |
2 Novemba 676 – 11 Aprili 678 | Donus | Papa Donus, Episcopus Romanus | Roma | ||
27 Juni 678 – 10 Januari 681 | Agatho Mtakatifu Agatho |
Papa Agatho, Episcopus Romanus | Sicilia | Sikukuu yake ni 10 Januari au 20 Februari | |
681/682 – 3 Julai 683 | Leo II Mtakatifu Leo II |
Papa Leo Secundus, Episcopus Romanus | Sicilia | Sikukuu yake ni 3 Julai | |
26 Juni 684 – 8 Mei 685 | Benedikto II Mtakatifu Benedikto II |
Papa Benedictus Secundus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 7 Mei | |
23 Julai 685 – 2 Agosti 686 | Yohane V | Papa Ioannes Quintus, Episcopus Romanus | Syria | ||
23 Oktoba 686 – 21 Septemba 687 | Conon | Papa Conon, Episcopus Romanus | |||
15 Desemba 687 – 7 Septemba 701 | Sergius I Mtakatifu Sergius I |
Papa Sergius, Episcopus Romanus | Sicilia | ||
30 Oktoba 701 – 11 Januari 705 | Yohane VI Mtakatifu Yohane VI |
Papa Ioannes Sextus, Episcopus Romanus | Sikukuu yake ni 8 Septemba | Ugiriki | |
1 Machi 705 – 18 Oktoba 707 | Yohane VII | Papa Ioannes Septimus, Episcopus Romanus | Ugiriki | ||
15 Januari 708 – 4 Februari 708 | Sisinnius | Papa Sisinnius, Episcopus Romanus | Syria | ||
25 Machi 708 – 9 Aprili 715 | Konstantino | Papa Constantinus, Episcopus Romanus | Syria | Papa wa mwisho kutembelea Ugiriki hadi Yohane Paulo II mwaka 2001 | |
19 Mei 715 – 11 Februari 731 | Gregori II Mtakatifu Gregori II |
Papa Gregorius Secundus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 11 Februari | |
18 Machi 731 – 28 Novemba 741 | Gregori III | Papa Gregorius Tertius, Episcopus Romanus | Syria | ||
3 Desemba 741 – 15 Machi 752 | Zakaria Mtakatifu Zakaria |
Papa Zacharias, Episcopus Romanus | Ugiriki | Sikukuu yake ni 15 Machi |
Kuanzia 752 hadi 1003
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya upapa | Jina rasmi | Jina la Kilatini | Jina la kuzaliwa | Mahali pa kuzaliwa | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|
23 Machi 752 – 25 Machi 752 Hakuwekwa wakfu kama Papa. | Papa mteule Stefano | Stephanus | Pengine huhesabiwa kama Stefano II. Alifariki siku tatu baada ya uchaguzi wake bila kuwekwa wakfu kama Papa. Aliingizwa katika orodha ya mapapa karne ya 16 lakini aliondolewa tena mwaka 1961. Kwa hiyo haangaliwi na Kanisa Katoliki kama papa. | ||
26 Machi 752 – 26 Aprili 757 | Stefano II | Papa Stephanus Secundus, Episcopus Romanus | Roma | Mara nyingine huhesabiwa kama Stefano III | |
29 Mei (?) 757 – 28 Juni 767 | Paulo I Mtakatifu Paulo I |
Papa Paulus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 28 Juni | |
1 Agosti (?) 767 – 24 Januari 772 | Stefano III | Papa Stephanus Tertius, Episcopus Romanus | Sicilia | Pengine huhesabiwa kama Stefano IV | |
1 Februari (?) 772 – 25 Desemba 795 | Adrian I | Papa Hadrianus, Episcopus Romanus | Roma | ||
26 Desemba 795 – 12 Juni 816 | Leo III | Papa Leo Tertius, Episcopus Romanus | Roma | ||
22 Juni 816 – 24 Januari 817 | Stefano IV | Papa Stephanus Quartus, Episcopus Romanus | Roma | Pengine huhesabiwa kama Stefano V | |
25 Januari 817 – 11 Februari 824 | Paskali I Mtakatifu Paskali I |
Papa Paschalis, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 11 Februari | |
8 Mei 824 – Agosti 827 | Eugenio II | Papa Eugenius Secundus, Episcopus Romanus | Roma | ||
Agosti 827 – Septemba 827 | Valentino | Papa Valentinus, Episcopus Romanus | Roma | ||
827/828 – 25 Januari 844 | Gregori IV | Papa Gregorius Quartus, Episcopus Romanus | Roma | ||
25 Januari 844 – 27 Januari 847 | Sergius II | Papa Sergius Secundus, Episcopus Romanus | Roma | ||
Januari 847 – 17 Julai 855 | Leo IV, O.S.B. Mtakatifu Leo IV |
Papa Leo Quartus, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 17 Julai | |
855 – 17 Aprili 858 | Benedikto III | Papa Benedictus Tertius, Episcopus Romanus | Roma | ||
24 Aprili 858 – 13 Novemba 867 | Nikolasi I Mtakatifu Nikolasi I Nikolasi Mkuu |
Papa Nicolaus Magnus Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 13 Novemba | |
14 Desemba 867 – 14 Desemba 872 | Adrian II | Papa Hadrianus Secundus, Episcopus Romanus | Roma | ||
14 Desemba 872 – 16 Desemba 882 | Yohane VIII | Papa Ioannes Octavus, Episcopus Romanus | Roma | ||
16 Desemba 882 – 15 Mei 884 | Marinus I | Papa Marinus, Episcopus Romanus | Gallese, Viterbo, Italia | ||
17 Mei 884 – Septemba 885 hivi | Adrian III Mtakatifu Adrian III |
Papa Hadrianus Tertius, Episcopus Romanus | Roma | Sikukuu yake ni 8 Julai | |
Septemba 885 – 14 Septemba 891 | Stefano V | Papa Stephanus Quintus, Episcopus Romanus | Roma | Pengine huhesabiwa kama Stefano VI | |
6 Oktoba 891 – 4 Aprili 896 | Formosus | Papa Formosus, Episcopus Romanus | Ostia | ||
11 Aprili 896 – 26 Aprili 896 | Bonifasi VI | Papa Bonifacius Sextus, Episcopus Romanus | Roma | ||
22 Mei 896 – Agosti 897 | Stefano VI | Papa Stephanus Sextus, Episcopus Romanus | Pengine huhesabiwa kama Stefano VII | ||
Julai/Agosti 897 – Novemba 897 | Romanus | Papa Romanus, Episcopus Romanus | Gallese, Viterbo, Italia | ||
Desemba 897 – 897/898 | Theodoro II | Papa Theodorus Secundus, Episcopus Romanus | Roma; | ||
Januari 898 – Januari/Mei 900 | Yohane IX, O.S.B. | Papa Ioannes Nonus, Episcopus Romanus | Tivoli | ||
900 – 903 | Benedikto IV | Papa Benedictus Quartus, Episcopus Romanus | Roma | ||
Julai 903 – Septemba 903 | Leo V | Papa Leo Quintus, Episcopus Romanus | Ardea | ||
29 Januari 904 – 14 Aprili 911 | Sergius III | Papa Sergius Tertius, Episcopus Romanus | Roma | ||
911 – 913 | Anastasius III | Papa Anastasius Tertius, Episcopus Romanus | Roma | ||
Julai/Novemba 913 – Machi 914 | Lando | Papa Lando, Episcopus Romanus | Sabina, Italia | ||
Machi/Aprili 914 – Mei/Juni 928 | Yohane X | Papa Ioannes Decimus, Episcopus Romanus | Tossignano, Imola, Emilia-Romagna | ||
Mei/Juni 928 – Desemba 928/Januari 929 | Leo VI | Papa Leo Sextus, Episcopus Romanus | Roma | ||
Januari 929 – Februari 931 | Stefano VII | Papa Stephanus Septimus, Episcopus Romanus | Roma | Pengine huhesabiwa kama Stefano VIII | |
Machi 931 – Januari 936 | Yohane XI | Papa Ioannes Undecimus, Episcopus Romanus | Roma | ||
Januari 936 – 13 Julai 939 | Leo VII, O.S.B. | Papa Leo Septimus, Episcopus Romanus | Roma | ||
14 Julai 939 – Oktoba 942 | Stefano VIII | Papa Stephanus Octavus, Episcopus Romanus | Roma | Pengine huhesabiwa kama Stefano IX | |
30 Oktoba 942 – Mei 946 | Marinus II | Papa Marinus Secundus, Episcopus Romanus | Roma | ||
10 Mei 946 – Desemba 955 | Agapiti II | Papa Agapetus Secundus, Episcopus Romanus | Roma | ||
16 Desemba 955 – 14 Mei 964 | Yohane XII | Papa Ioannes Duodecimus, Episcopus Romanus | Octavian | ||
Julai 964 – 1 Machi 965 | Leo VIII | Papa Leo Octavus, Episcopus Romanus | Roma | Aliteuliwa na Mfalme Mkuu Otto I mwaka 963 dhidi ya Yohane XII na Benedikto V. Alibaki papa pekee baada ya kujiuzulu kwa Benedikto V. | |
22 Mei 964 – 23 Juni 964 | Benedikto V | Papa Benedictus Quintus, Episcopus Romanus | Roma | Alichaguliwa na watu wa Roma baada ya kifo cha Yohane XII, wakati Leo VIII alipoteuliwa na Mfalme Mkuu Otto; mwaka 964 Benedikto alijiuzulu na Leo alibaki Papa. | |
1 Oktoba 965 – 6 Septemba 972 | Yohane XIII | Papa Ioannes Tertius Decimus, Episcopus Romanus | |||
19 Januari 973 – Juni 974 | Benedikto VI | Papa Benedictus Sextus, Episcopus Romanus | Aliuawa | ||
Oktoba 974 – 10 Julai 983 | Benedikto VII | Papa Benedictus Septimus, Episcopus Romanus | |||
Desemba 983 – 20 Agosti 984 | Yohane XIV | Papa Ioannes Quartus Decimus, Episcopus Romanus | Pietro Campanora | Pavia, Lombardia, Italia | |
Agosti 985 – Machi 996 | Yohane XV | Papa Ioannes Quintus Decimus, Episcopus Romanus | Roma | ||
3 Mei 996 – 18 Februari 999 | Gregori V | Papa Gregorius Quintus, Episcopus Romanus | Bruno wa Carinthia | Papa wa kwanza kutoka Ujerumani | |
2 Aprili 999 – 12 Mei 1003 | Silvesta II | Papa Silvester Secundus, Episcopus Romanus | Gerbert d'Aurillac | mkoa wa Auvergne, Ufaransa | Papa wa kwanza kutoka Ufaransa |
Kuanzia 1003 hadi 1254
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya upapa | Jina rasmi | Jina la Kilatini | Jina la kuzaliwa | Mahali pa kuzaliwa | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|
Juni 1003 – Desemba 1003 | Yohane XVII | Papa Ioannes Septimus Decimus, Episcopus Romanus | Siccone | Roma | |
25 Desemba 1003 – Julai 1009 | Yohane XVIII | Papa Ioannes Duodevicesimus, Episcopus Romanus | Giovanni Fasano; Phasianus | Roma | |
31 Julai 1009 – 12 Mei 1012 | Sergius IV | Papa Sergius Quartus, Episcopus Romanus | Pietro Boccapecora | Roma | |
18 Mei 1012 – 9 Aprili 1024 | Benedikto VIII | Papa Benedictus Octavus, Episcopus Romanus | Theophylactus II, wa watawala wa Tusculum | Roma | |
Aprili/Mei 1024 – 20 Oktoba 1032 | Yohane XIX | Papa Ioannes Undevicesimus, Episcopus Romanus | Romanus, wa watawala wa Tusculum | Roma | |
1032 – 1044 | Benedikto IX | Papa Benedictus Nonus, Episcopus Romanus | Theophylactus III wa watawala wa Tusculum | Roma | awamu ya kwanza; alijiuzulu kwa kupewa fedha |
1045 | Sylvester III | Papa Silvester Tertius, Episcopus Romanus | Yohane, Askofu wa Sabina | Roma | Uchaguzi wake haukuthibitishwa, kwa hiyo haangaliwi kama papa rasmi. |
1045 – 1046 | Benedikto IX | Papa Benedictus Nonus, Episcopus Romanus | Theophylactus III wa watawala wa Tusculum | Roma | awamu ya pili; aliondolewa katika Mkutano wa Sutri |
Aprili/Mei 1045 – 20 Desemba 1046 | Gregori VI | Papa Gregorius Sextus, Episcopus Romanus | Johannes Gratianus | Aliondolewa katika Mkutano wa Sutri | |
24 Desemba 1046 – 9 Oktoba 1047 | Klementi II | Papa Clemens Secundus, Episcopus Romanus | Suidger | Saxonia, Ujerumani | |
Novemba 1047 – 1048 | Benedikto IX | Papa Benedictus Nonus, Episcopus Romanus | Theophylactus III wa watawala wa Tusculum | awamu ya tatu; aliondolewa na Kanisa kabisa. | |
17 Julai 1048 – 9 Agosti 1048 | Damasus II | Papa Damasus Secundus, Episcopus Romanus | Poppo | Tirol, Austria | |
12 Februari 1049 – 19 Aprili 1054 | Leo IX Mtakatifu Leo IX |
Papa Leo Nonus, Episcopus Romanus | Bruno, Lodi wa Dagsbourg | Alsace, Ufaransa | Sikukuu yake ni 19 Aprili |
13 Aprili 1055 – 28 Julai 1057 | Vikta II | Papa Viktor Secundus, Episcopus Romanus | Gebhard, Lodi wa Calw, Tollenstein, na Hirschberg | Ujerumani | |
2 Agosti 1057 – 29 Machi 1058 | Stefano IX, O.S.B. | Papa Stephanus Nonus, Episcopus Romanus | Frederic de Lorraine; Frederik wa Lorraine | Pengine huhesabiwa kama Stefano X | |
6 Desemba 1058 – 27 Julai 1061 | Nikolasi II | Papa Nicolaus Secundus, Episcopus Romanus | Gérard de Bourgogne; Gerard wa Burgundy | ||
30 Septemba 1061 – 21 Aprili 1073 | Alexander II | Papa Alexander Secundus, Episcopus Romanus | Anselmo da Baggio | Baggio, Milano, Italia | |
22 Aprili 1073 – 25 Mei 1085 | Gregori VII, O.S.B. Mtakatifu Gregori VII |
Papa Gregorius Septimus, Episcopus Romanus | Hildebrand | Soana, Toscana, Italia | Aliweka mipaka ya matumizi ya neno "Papa" limaanishe Askofu wa Roma tu. Sikukuu yake ni 25 Mei |
24 Mei 1086 – 16 Septemba 1087 | Vikta III, O.S.B. Mwenye heri Viktor III |
Papa Viktor Tertius, Episcopus Romanus | Desiderio; Desiderius; Dauferius | Italia ya Kusini | Sikukuu yake ni 16 Septemba |
12 Machi 1088 – 29 Julai 1099 | Urban II, O.S.B. Mwenye heri Urban II |
Papa Urbanus Secundus, Episcopus Romanus | Odo wa Lagery | Ufaransa | Alianzisha Vita vya msalaba. Sikukuu yake ni 29 Julai |
13 Agosti 1099 – 21 Januari 1118 | Paskali II, O.S.B. | Papa Paschalis Secundus, Episcopus Romanus | Raniero | Romagna, Italia | |
24 Januari 1118 – 28 Januari 1119 | Gelasius II, O.S.B. | Papa Gelasius Secundus, Episcopus Romanus | Giovanni Coniulo | Gaeta, Lazio, Italia | |
2 Februari 1119 – 13 Desemba 1124 | Kalisti II | Papa Callistus Secundus, Episcopus Romanus | Guido, Lodi wa Burgundy | Ufaransa | Alifungua Mtaguso wa kwanza wa Laterano mwaka 1123 |
15 Desemba 1124 – 13 Februari 1130 | Honorius II | Papa Honorius Secundus, Episcopus Romanus | Lamberto Scannabecchi | Imola, Romagna, Italia | |
14 Februari 1130 – 24 Septemba 1143 | Inosenti II | Papa Innocentius Secundus, Episcopus Romanus | Gregorio Papareschi | Roma, Italia | Alianzisha Mtaguso wa pili wa Laterano, 1139 |
26 Septemba 1143 – 8 Machi 1144 | Selestini II | Papa Coelestinus Secundus, Episcopus Romanus | Guido | Città di Castello, Umbria, Italia | |
12 Machi 1144 – 15 Machi 1145 | Lucius II | Papa Lucius Secundus, Episcopus Romanus | Gerardo Caccianemici dal Orso | Bologna, Italia | |
15 Februari 1145 – 8 Julai 1153 | Eugenio III, O.Cist. Mwenye heri Eugenio III |
Papa Eugenius Tertius, Episcopus Romanus | Bernardo Pignatelli | Pisa, Toskana, Italia | Sikukuu yake ni 8 Julai |
8 Julai 1153 – 3 Desemba 1154 | Anastasius IV | Papa Anastasius Quartus, Episcopus Romanus | Corrado | Roma | |
4 Desemba 1154 – 1 Septemba 1159 | Adrian IV, Can.Reg. | Papa Hadrianus Quartus, Episcopus Romanus | Nicholas Breakspear | Uingereza | Papa pekee kutoka Uingereza |
7 Septemba 1159 – 30 Agosti 1181 | Alexander III | Papa Alexander Tertius, Episcopus Romanus | Rolando Bandinelli | Siena, Toskana, Italia | Alianzisha Mtaguso wa tatu wa Laterano, 1179 |
1 Septemba 1181 – 25 Novemba 1185 | Lucius III | Papa Lucius Tertius, Episcopus Romanus | Ubaldo Allucingoli | Lucca, Toskana, Italia | |
25 Novemba 1185 – 19 Oktoba 1187 | Urban III | Papa Urbanus Tertius, Episcopus Romanus | Uberto Crivelli | Milano, Italia | |
21 Oktoba 1187 – 17 Desemba 1187 | Gregori VIII | Papa Gregorius Octavus, Episcopus Romanus | Alberto di Morra | Benevento, Campania, Italia | Alishauri kuanzisha Vita vya msalaba vya tatu |
19 Desemba 1187 – 27 Machi 1191 | Klementi III | Papa Clemens Tertius, Episcopus Romanus | Paulino Scolari | Roma | |
30 Machi 1191 – 8 Januari 1198 | Selestini III | Papa Coelestinus Tertius, Episcopus Romanus | Giacinto Bobone | Roma | |
8 Januari 1198 – 16 Julai 1216 | Inosenti III | Papa Innocentius Tertius, Episcopus Romanus | Lotario dei Conti di Segni | Gavignano, Lazio, Italia | Alianzisha Mtaguso wa nne wa Laterano, 1215 |
18 Julai 1216 – 18 Machi 1227 | Honorius III | Papa Honorius Tertius, Episcopus Romanus | Cencio Savelli | Roma | |
19 Machi 1227 – 22 Agosti 1241 | Gregori IX | Papa Gregorius Nonus, Episcopus Romanus | Ugolino dei Conti di Segni | Anagni, Lazio, Italia | |
25 Oktoba 1241 – 10 Novemba 1241 | Selestini IV, | Papa Coelestinus Quartus, Episcopus Romanus | Goffredo Castiglioni | Milano, Italia | |
25 Juni 1243 – 7 Desemba 1254 | Inosenti IV | Papa Innocentius Quartus, Episcopus Romanus | Sinibaldo Fieschi | Genova, Italia | Alifungua Mtaguso wa kwanza wa Lyon, 1245 |
Kuanzia 1254 hadi 1503
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya upapa | Jina rasmi | Jina la Kilatini | Jina la kuzaliwa | Mahali pa kuzaliwa | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|
12 Desemba 1254 – 25 Mei 1261 | Alexander IV | Papa Alexander Quartus, Episcopus Romanus | Rinaldo dei Conti di Segni; Rinaldo Conti | Anagni, Italia | |
29 Agosti 1261 – 2 Oktoba 1264 | Urban IV | Papa Urbanus Quartus, Episcopus Romanus | Jacques Pantaléon | Troyes, Ufaransa | |
5 Februari 1265 – 29 Novemba 1268 | Klementi IV | Papa Clemens Quartus, Episcopus Romanus | Gui Faucoi le Gros | Mtakatifu-Gilles, Ufaransa | |
29 Novemba 1268 – 1 Septemba 1271 | hakuna papa | ||||
1 Septemba 1271 – 10 Januari 1276 | Gregori X, Mwenye heri Gregori X |
Papa Gregorius Decimus, Episcopus Romanus | Tebaldo Visconti | Piacenza, Emilia-Romagna, Italia | Alianzisha Mtaguso wa pili wa Lyon, 1274. Sikukuu yake ni 10 Januari. |
21 Januari 1276 – 22 Juni 1276 | Inosenti V, O.P. Mwenye heri Inosenti V |
Papa Innocentius Quintus, Episcopus Romanus | Pierre de Tarentaise | Savoy, Ufaransa | Sikukuu yake ni 22 Juni. |
11 Julai 1276 – 18 Agosti 1276 | Adrian V | Papa Hadrianus Quintus, Episcopus Romanus | Ottobuono Fieschi | Genova, Italia | |
8 Septemba 1276 – 20 Mei 1277 | Yohane XXI | Papa Ioannes Vicesimus Primus, Episcopus Romanus | Pedro Hispano | Lisbon, Ureno | Alikufa maabara yake ya kisayansi ilipoporomoka. |
25 Novemba 1277 – 22 Agosti 1280 | Nikolasi III, | Papa Nicolaus Tertius, Episcopus Romanus | Giovanni Gaetano Orsini | Roma, Italia | |
22 Februari 1281 – 28 Machi 1285 | Martin IV | Papa Martinus Quartus, Episcopus Romanus | Simon de Brion | Touraine, Ufaransa | |
2 Aprili 1285 – 3 Aprili 1287 | Honorius IV | Papa Honorius Quartus, Episcopus Romanus | Giacomo Savelli | Roma, Italia | |
22 Februari 1288 – 4 Aprili 1292 | Nikolasi IV, O.F.M. | Papa Nicolaus Quartus, Episcopus Romanus | Girolamo Masci | Ascoli Piceno, Marche, Italia | |
4 Aprili 1292 – 5 Julai 1294 | hakuna papa | ||||
5 Julai 1294 – 13 Desemba 1294 | Selestini V, O.S.B. Mtakatifu Selestini V |
Papa Coelestinus Quintus, Episcopus Romanus | Pietro da Morrone | Molise, Italia | Alijiuzulu. Sikukuu yake ni 22 Juni. |
24 Desemba 1294 – 11 Oktoba 1303 | Bonifasi VIII | Papa Bonifacius Octavus, Episcopus Romanus | Benedetto Caetani | Anagni, Italia | |
22 Oktoba 1303 – 7 Julai 1304 | Benedikto XI, O.P. Mwenye heri Benedikto XI |
Papa Benedictus Undecimus, Episcopus Romanus | Niccolò Boccasini | Treviso, Italia | Sikukuu yake ni 7 Julai. |
5 Juni 1305 – 20 Aprili 1314 | Klementi V | Papa Clemens Quintus, Episcopus Romanus | Bertrand de Got | Bordeaux, Ufaransa | Upapa wa Avignon. Alilazimishwa kufuta Shirika la Hekalu kwenye Mtaguso wa Vienne, 1311-1312. |
20 Aprili 1314 – 7 Agosti 1316 | hakuna papa | ||||
7 Agosti 1316 – 4 Desemba 1334 | Yohane XXII | Papa Ioannes Vicesimus Secundus, Episcopus Romanus | Jacques d'Euse; Jacques Duèse | Cahors, Ufaransa | Upapa wa Avignon |
20 Desemba 1334 – 25 Aprili 1342 | Benedikto XII, O.Cist. | Papa Benedictus Duodecimus, Episcopus Romanus | Jacques Fournier | Saverdun, Ufaransa | Upapa wa Avignon |
7 Mei 1342 – 6 Desemba 1352 | Klementi VI | Papa Clemens Sextus, Episcopus Romanus | Pierre Roger | Limoges, Ufaransa | Upapa wa Avignon |
18 Desemba 1352 – 12 Septemba 1362 | Inosenti VI | Papa Innocentius Sextus, Episcopus Romanus | Étienne Aubert; Stefano Aubert | Beyssac, Ufaransa | Upapa wa Avignon |
28 Septemba 1362 – 19 Desemba 1370 | Urban V, O.S.B. Mwenye heri Urban V |
Papa Urbanus Quintus, Episcopus | Guillaume Grimoard; Guillaume de Grimoard | Languedoc, Ufaransa | Upapa wa Avignon. Sikukuu yake ni 19 Desemba. |
30 Desemba 1370 – 26 Machi 1378 | Gregori XI | Papa Gregorius Undecimus, Episcopus Romanus | Pierre Roger de Beaufort | Limoges, Ufaransa | Upapa wa Avignon; alirudi Roma |
8 Aprili 1378 – 15 Oktoba 1389 | Urban VI | Papa Urbanus Sextus, Episcopus Romanus | Bartolomeo Prignano | Napoli, Italia | Farakano la Magharibi |
2 Novemba 1389 – 1 Oktoba 1404 | Boniface IX | Papa Bonifacius Nonus, Episcopus Romanus | Pietro Tomacelli | Napoli, Italia | Farakano la Magharibi |
17 Oktoba 1404 – 6 Novemba 1406 | Inosenti VII | Papa Innocentius Septimus, Episcopus Romanus | Cosimo Gentile Migliorati | Abruzzo, Italia | Farakano la Magharibi |
30 Novemba 1406 – 4 Julai 1415 | Gregori XII | Papa Gregorius Duodecimus, Episcopus Romanus | Angelo Correr | Venice, Italia | Farakano la Magharibi; alijiuzulu kwenye Mtaguso wa Konstanz. |
4 Julai 1415 – 11 Novemba 1417 | hakuna papa | ||||
11 Novemba 1417 – 20 Februari 1431 | Martin V | Papa Martinus Quintus, Episcopus Romanus | Oddone Colonna | Roma, Italia | Alianzisha Mtaguso wa Basel, 1431 |
3 Machi 1431 – 23 Februari 1447 | Eugenio IV, Can.Reg. | Papa Eugenius Quartus, Episcopus Romanus | Gabriele Condulmer | Venice, Italia | Alimvisha taji Mfalme Mkuu Sigismund mjini Roma mwaka 1433. |
6 Machi 1447 – 24 Machi 1455 | Nikolasi V, | Papa Nicolaus Quintus, Episcopus Romanus | Tommaso Parentucelli | Sarzana, Liguria, Italia | Alimvisha taji Mfalme Mkuu Frederick III mjini Roma mwaka 1452. |
8 Aprili 1455 – 6 Agosti 1458 | Kalisti III | Papa Callistus Tertius, Episcopus Romanus | Alfonso de Borgia | Xàtiva, Valencia, Hispania | Papa wa kwanza kutoka Hispania |
19 Agosti 1458 – 15 Agosti 1464 | Pius II | Papa Pius Secundus, Episcopus Romanus | Enea Silvio Piccolomini | Siena, Italia | |
30 Agosti 1464 – 26 Julai 1471 | Paulo II | Papa Paulus Secundus, Episcopus Romanus | Pietro Barbo | Venice, Italia | |
9 Agosti 1471 – 12 Agosti 1484 | Sixtus IV, O.F.M. | Papa Xystus Quartus, Episcopus Romanus | Francesco della Rovere | Savona, Italia | Aliagiza Kikanisa cha Sistina |
29 Agosti 1484 – 25 Julai 1492 | Inosenti VIII | Papa Innocentius Octavus, Episcopus Romanus | Giovanni Battista Cybo | Genova, Italia | |
11 Agosti 1492 – 18 Agosti 1503 | Alexander VI | Papa Alexander Sextus, Episcopus Romanus | Rodrigo de Lanzòl-Borgia | Xàtiva, Valencia, Hispania | Aligawa dunia yote isiyo Ulaya kati ya Hispania na Ureno mwaka 1493. |
Kuanzia 1503 hadi 1758
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya upapa | Picha | Jina rasmi | Jina la Kilatini | Jina la kuzaliwa | Mahali pa kuzaliwa | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|---|
22 Septemba 1503 – 18 Oktoba 1503 | Pius III | Papa Pius Tertius, Episcopus Romanus | Francesco Todeschini Piccolomini | Siena, Toscana, Italia | ||
31 Oktoba 1503 – 21 Februari 1513 | Julius II, | Papa Iulius Secundus, Episcopus Romanus | Giuliano della Rovere | Albissola, Savona, Italia | Mpwa wa Sixtus IV; aliitisha Mtaguso wa tano wa Laterano, 1512. | |
9 Machi 1513 – 1 Desemba 1521 | Leo X | Papa Leo Decimus, Episcopus Romanus | Giovanni di Lorenzo de' Medici | Florence, Italia | Mwana wa Lorenzo de Medici, alimtenga Martin Luther na Kanisa. | |
9 Januari 1522 – 14 Septemba 1523 | Adrian VI | Papa Hadrianus Sextus, Episcopus Romanus | Adriaan Floriszoon Boeyens | Utrecht, Dola la Ujerumani (siku hizi ni Uholanzi) | Papa pekee kutoka Uholanzi na wa mwisho asiye Mwitalia hadi Yohane Paulo II (mwaka 1978). Alikuwa mwalimu wa Kaisari Karoli V | |
26 Novemba 1523 – 25 Septemba 1534 | Klementi VII | Papa Clemens Septimus, Episcopus Romanus | Giulio di Giuliano de' Medici | Florence, Italia | ||
13 Oktoba 1534 – 10 Novemba 1549 | Paulo III | Papa Paulus Tertius, Episcopus Romanus | Alessandro Farnese | Canino, Viterbo, Italia | Alifungua Mtaguso wa Trento mwaka 1545. | |
29 Novemba 1549 – 29 Machi 1555 | Julius III | Papa Iulius Tertius, Episcopus Romanus | Giovanni Maria Ciocchi del Monte | Roma, Italia | ||
9 Aprili 1555 – 30 Aprili au 1 Mei 1555 | Marcello II | Papa Marcellus Secundus, Episcopus Romanus | Marcello Cervini | Montefano, Macerata, Marche, Italia | ||
23 Mei 1555 – 18 Agosti 1559 | Paulo IV | Papa Paulus Quartus, Episcopus Romanus | Giovanni Pietro Carafa | Capriglia, Campania, Italia | ||
26 Desemba 1559 – 9 Desemba 1565 | Pius IV | Papa Pius Quartus, Episcopus Romanus | Giovanni Angelo Medici | Milano, Italia | Alifungua upya Mtaguso wa Trento 1562, na kuumaliza mwaka 1563 | |
7 Januari 1566 – 1 Mei 1572 | Pius V, O.P. Mtakatifu Pius V |
Papa Pius Quintus, Episcopus Romanus | Michele Ghislieri | Bosco, Alessandria, Italia | Alimtenga Elizabeth I wa Uingereza na Kanisa, 1570. Sikukuu yake ni 30 Aprili. | |
13 Mei 1572 – 10 Aprili 1585 | Gregori XIII | Papa Gregorius Tertius Decimus, Episcopus Romanus | Ugo Boncompagni | Bologna, Italia | Alibuni Kalenda ya Gregori, 1582 | |
24 Aprili 1585 – 27 Agosti 1590 | Sixtus V, O.F.M. Conv. | Papa Xystus Quintus, Episcopus Romanus | Felice Peretti | Grottammare, Marche, Italia | ||
15 Septemba 1590 – 27 Septemba 1590 | Urban VII | Papa Urbanus Septimus, Episcopus Romanus | Giovanni Battista Castagna | Roma, Italia | ||
5 Desemba 1590 – 15 /16 Oktoba 1591 | Gregori XIV | Papa Gregorius Quartus Decimus, Episcopus Romanus | Niccolò Sfondrati | Cremona, Lombardia, Italia | ||
29 Oktoba 1591 – 30 Desemba 1591 | Inosenti IX | Papa Innocentius Nonus, Episcopus Romanus | Giovanni Antonio Facchinetti | Bologna, Italia | ||
30 Januari 1592 – 3 Machi 1605 | Klementi VIII | Papa Clemens Octavus, Episcopus Romanus | Ippolito Aldobrandini | Fano, Marche, Italia | ||
1 Aprili 1605 – 27 Aprili 1605 | Leo XI | Papa Leo Undecimus, Episcopus Romanus | Alessandro Ottaviano de' Medici | Florence, Italia | ||
16 Mei 1605 – 28 Januari 1621 | Paulo V | Papa Paulus Quintus, Episcopus Romanus | Camillo Borghese | Roma, Italia | ||
9 Februari 1621 – 8 Julai 1623 | Gregori XV | Papa Gregorius Quintus Decimus, Episcopus Romanus | Alessandro Ludovisi | Bologna, Italia | ||
6 Agosti 1623 – 29 Julai 1644 | Urban VIII | Papa Urbanus Octavus, Episcopus Romanus | Maffeo Barberini | Florence, Italia | ||
15 Septemba 1644 – 7 Januari 1655 | Inosenti X | Papa Innocentius Decimus, Episcopus Romanus | Giovanni Battista Pamphilj | Roma, Italia | ||
7 Aprili 1655 – 22 Mei 1667 | Alexander VII | Papa Alexander Septimus, Episcopus Romanus | Fabio Chigi | Siena, Toscana, Italia | ||
20 Juni 1667 – 9 Desemba 1669 | Klementi IX | Papa Clemens Nonus, Episcopus Romanus | Giulio Rospigliosi | Pistoia, Toscana, Italia | ||
29 Aprili 1670 – 22 Julai 1676 | Klementi X | Papa Clemens Decimus, Episcopus Romanus | Emilio Altieri | Roma, Italia | ||
21 Septemba 1676 – 11/12 Agosti 1689 | Inosenti XI Mwenye heri Innocent XI |
Papa Innocentius Undecimus, Episcopus Romanus | Benedetto Odescalchi | Como, Lombardia, Italia | Sikukuu yake ni 22 Agosti. | |
6 Oktoba 1689 – 1 Februari 1691 | Alexander VIII | Papa Alexander Octavus, Episcopus Romanus | Pietro Vito Ottoboni | Padova, Veneto, Italia | ||
12 Julai 1691 – 27 Septemba 1700 | Inosenti XII | Papa Innocentius Duodecimus, Episcopus Romanus | Antonio Pignatelli | Spinazzola, Puglia, Italia | ||
23 Novemba 1700 – 19 Machi 1721 | Klementi XI | Papa Clemens Undecimus, Episcopus Romanus | Giovanni Francesco Albani | Urbino, Marche, Italia | ||
8 Mei 1721 – 7 Machi 1724 | Inosenti XIII | Papa Innocentius Tertius Decimus, Episcopus Romanus | Michelangelo de’ Conti; Mikael Angelo Conti | Poli, Lazio, Italia | ||
29 Mei 1724 – 21 Februari 1730 | Benedikto XIII, O.P. | Papa Benedictus Tertius Decimus, Episcopus Romanus | Pierfrancesco Orsini | Gravina, Puglia, Italia | ||
12 Julai 1730 – 6 Februari 1740 | Klementi XII | Papa Clemens Duodecimus, Episcopus Romanus | Lorenzo Corsini | Florence, Italia | ||
17 Agosti 1740 – 3 Mei 1758 | Benedikto XIV | Papa Benedictus Quartus Decimus, Episcopus Romanus | Prospero Lorenzo Lambertini | Bologna, Italia |
Kuanzia 1758 hadi 2005
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya upapa | Picha | Jina rasmi | Jina la Kilatini | Jina la kuzaliwa | Mahali pa kuzaliwa | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|---|
6 Julai 1758 – 2 Februari 1769 | Klementi XIII | Papa Clemens Tertius Decimus, Episcopus Romanus | Carlo della Torre Rezzonico | Venice, Veneto, Italia | ||
19 Mei 1769 – 22 Septemba 1774 | Klementi XIV, O.F.M. Conv. | Papa Clemens Quartus Decimus, Episcopus Romanus | Giovanni Vincenzo Antonio Ganganelli | Sant'Arcangelo di Romagna, Italia | Alifuta Shirika la Yesu. | |
15 Februari 1775 – 29 Agosti 1799 | Pius VI | Papa Pius Sextus, Episcopus Romanus | Giovanni Angelo Braschi | Cesena, Italia | Alilaumu Mapinduzi ya Ufaransa na kufukuzwa na jeshi la Kifaransa kuanzia 1798 hadi kifo chake. | |
14 Machi 1800 – 20 Agosti 1823 | Pius VII, O.S.B. | Papa Pius Septimus, Episcopus Romanus | Barnaba Chiaramonti | Cesena, Italia | Alifukuzwa na jeshi la Kifaransa kutoka 1809 hadi 1814. | |
28 Septemba 1823 – 10 Februari 1829 | Leo XII | Papa Leo Duodecimus, Episcopus Romanus | Annibale Sermattei della Genga | Fabriano, Marche, Italia | ||
31 Machi 1829 – 1 Desemba 1830 | Pius VIII | Papa Pius Octavus, Episcopus Romanus | Francesco Saverio Castiglioni | Cingoli, Marche, Italia | ||
2 Februari 1831 – 1 Juni 1846 | Gregori XVI, O.S.B. Cam. | Papa Gregorius Sextus Decimus, Episcopus Romanus | Bartolomeo Alberto Cappellari | Belluno, Veneto, Italia | ||
16 Juni 1846 – 7 Februari 1878 | Pius IX, ' Mwenye heri Pius IX |
Papa Pius Nonus, Episcopus Romanus | Giovanni Maria Mastai-Ferretti | Senigallia, Marche, Italia | Alifungua Mtaguso wa kwanza wa Vatikano. Sikukuu yake ni 22 Juni. | |
20 Februari 1878 – 20 Julai 1903 | Leo XIII | Papa Leo Tertius Decimus, Episcopus Romanus | Gioacchino Vincenzo Raffaele Luigi Pecci | Carpineto Romano, Lazio, Italia | ||
4 Agosti 1903 – 20 Agosti 1914 | Pius X Mtakatifu Pius X |
Papa Pius Decimus, Episcopus Romanus | Giuseppe Melchiorre Sarto | Riese, Treviso, Veneto, Italia | Sikukuu yake ni 21 Agosti. | |
3 Septemba 1914 – 22 Januari 1922 | Benedikto XV | Papa Benedictus Quintus Decimus, Episcopus Romanus | Giacomo Della Chiesa | Genova, Italia | ||
6 Februari 1922 – 10 Februari 1939 | Pius XI | Papa Pius Undecimus, Episcopus Romanus | Achille Ambrogio Damiano Ratti | Desio, Milan, Italia | Aliutia sahihi Mkataba wa Laterano na Italia ulioanzisha Vatikani kuwa nchi inayojitegemea. | |
2 Machi 1939 – 9 Oktoba 1958 | Pius XII Mtumishi wa Mungu Pius XII |
Papa Pius Duodecimus, Episcopus Romanus | Eugenio Maria Giuseppe Giovanni Pacelli | Roma, Italia | ||
28 Oktoba 1958 – 3 Juni 1963 | Yohane XXIII Mtakatifu Yohane XXIII |
Papa Ioannes Vicesimus Tertius, Episcopus Romanus | Angelo Giuseppe Roncalli | Sotto il Monte, Bergamo, Italia | Alifungua Mtaguso wa pili wa Vatikano; pengine huitwa "Papa Mwema". Sikukuu yake ni 11 0ktoba. | |
21 Juni 1963 – 6 Agosti 1978 | Paulo VI Mwenye heri Paulo VI |
Papa Paulus Sextus, Episcopus Romanus | Giovanni Battista Enrico Antonio Maria Montini | Concesio, Brescia, Italia | Papa wa mwisho aliyevishwa Tiara. Sikukuu yake ni 26 Septemba. | |
26 Agosti 1978 – 28 Septemba 1978 | Yohane Paulo I Mtumishi wa Mungu Yohane Paulo I |
Papa Ioannes Paulus Primus, Episcopus Romanus | Albino Luciani | Forno di Canale (sasa Canale d'Agordo), Veneto, Italia | Papa wa kwanza aliyetumia majina mawili. | |
16 Oktoba 1978 – 2 Aprili 2005 | Yohane Paulo II Mtakatifu Yohane Paulo II |
Papa Ioannes Paulus Secundus, Episcopus Romanus | Karol Józef Wojtyła | Wadowice, Poland | Papa wa kwanza kutoka Poland na wa kwanza asiye Mwitalia baada ya miaka 455. Sikukuu yake ni 22 Oktoba. |
Tangu 2005 hadi leo
[hariri | hariri chanzo]Miaka ya upapa | Picha | Jina rasmi | Jina la Kilatini | Jina la kuzaliwa | Mahali pa kuzaliwa | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|---|
19 Aprili 2005 – 28 Februari 2013 | Benedikto XVI | Papa Benedictus Sextus Decimus, Episcopus Romanus | Joseph Alois Ratzinger | Marktl am Inn, Bavaria, Ujerumani | Papa wa kwanza kutoka Ujerumani tangu Papa Adrian VI mwaka 1523. (Ingawa Adrian VI alizungumza Kijerumani na kuzaliwa ndani ya Dola la Ujerumani, mahali pake pa kuzaliwa siku hizi ni sehemu ya Uholanzi; papa Mjerumani aliyemtangulia alikuwa Stefano IX.) Aling'atuka. | |
13 Machi 2013 – hivi sasa | Fransisko, S.I. | Papa Franciscus, S.I.Episcopus Romanus | Jorge Mario Bergoglio | Buenos Aires, Argentina | Papa wa kwanza kutoka Amerika |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Yohane N.D. Kelly, The Oxford Dictionary of Popes, Oxford University Press, 1986.
- AA.VV., Enciclopedia dei Papi, Istituto dell'Enciclopedia italiana, 2000.
- Pontificia Amministrazione della Patriarcale Basilica di San Paolo, I Papi. Venti secoli di storia, Libreria Editrice Vaticana, 2002.