Nenda kwa yaliyomo

Papa Innocent VIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Inosenti VIII.

Papa Innocent VIII (kwa Kilatini: Innocentius VIII; kwa Kiitalia: Innocenzo VIII; 143225 Julai 1492) alikuwa Papa na mtawala wa Dola la Papa kuanzia tarehe 29 Agosti/12 Septemba 1484 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Cybo (au Cibo).

Alimfuata Papa Sixtus IV akafuatwa na Papa Aleksanda VI.

Akiwa mwana wa naibu mfalme wa Napoli, Cybo alitumia miaka yake ya awali katika mahakama ya kifalme ya Napoli. [3]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  3. Francesco Serdonati (1829). Vita e fatti d'Innocenzo VIII., papa CCXVI. Milan: Tip. di V. Ferrario. uk. 10.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.