Papa Sixtus IV
Jump to navigation
Jump to search
Papa Sixtus IV, O.F.M. (21 Julai 1414 – 12 Agosti 1484) alikuwa papa kuanzia tarehe 9 Agosti 1471 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco della Rovere.
Alimfuata Papa Paulo II akafuatwa na Papa Inosenti VIII.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |