Papa Klementi XIII
Jump to navigation
Jump to search
Papa Klementi XIII (7 Machi 1693 – 2 Februari 1769) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Julai 1758 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Carlo della Torre Rezzonico.
Alimfuata Papa Benedikto XIV akafuatwa na Papa Klementi XIV.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |