Papa Yohane V
Papa Yohane V alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Julai 685 hadi kifo chake tarehe 2 Agosti 686[1]. Alitokea Syria[2].
Alimfuata Papa Benedikto II akafuatwa na Papa Konon.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Ekonomou, Andrew J. 2007. Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752. Lexington Books.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |