Papa Gelasio II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Gelasius II)
Papa Gelasio II.

Papa Gelasio II, O.S.B. (alifariki 29 Januari 1119) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Januari au 10 Machi 1118 hadi kifo chake[1]. Alitokea Gaeta, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Caetani au Coniulo.

Alikuwa mmonaki wa Wabenedikto wa Monte Cassino (Italia).

Alimfuata Papa Paskali II akafuatwa na Papa Callixtus II.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gelasio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.