Papa Severino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Severinus)
Jump to navigation Jump to search
Papa Severino.

Papa Severino alikuwa Papa kuanzia tarehe 28 Mei 640 hadi kifo chake tarehe 2 Agosti 640. Jina la baba yake lilikuwa Abienus.

Alimfuata Papa Honori I akafuatwa na Papa Yohane IV.

Ingawa Severino alikuwa amechaguliwa mnamo Oktoba 638, ilichukua zaidi ya mwaka mmoja na nusu kupata kibali cha Kaisari wa Bizanti.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Severino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.