Papa Agapeto II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Agapetus II)
Papa Agapeto II.

Papa Agapeto II alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Mei 946 hadi kifo chake mnamo Desemba 955[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.

Alimfuata Papa Marinus II akafuatwa na Papa Yohane XII.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Agapeto II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.