Papa Gregori IX

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Gregori IX.

Papa Gregori IX (takriban 114322 Agosti 1241) alikuwa Papa kuanzia mwaka 1227 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ugolino dei Conti.

Alimfuata Papa Honori III akafuatwa na Papa Selestini IV.

Rafiki wa Fransisko wa Asizi, alifanywa kardinali mlinzi wa shirika la Ndugu Wadogo akatabiriwa naye Upapa.

Baada ya utabiri kutimia, ndiye aliyemtangaza mtakatifu huko Assisi mwaka 1228.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.