Papa Innocent IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti IV)
Jump to navigation Jump to search
Papa Inosenti IV akituma Wadominiko na Wafransisko kwa Watartari.

Papa Innocent IV (Genova, Liguria, Italia, kati ya 1180 na 11907 Desemba 1254) alikuwa Papa kuanzia tarehe 28 Juni 1243 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sinibaldo Fieschi.

Alimfuata Papa Selestini IV akafuatwa na Papa Aleksanda IV.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.