Papa Leo IX

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Leo IX.

Papa Leo IX (21 Juni 100219 Aprili 1054) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 au 12 Februari 1049 hadi kifo chake[1]. Alitokea Alsace, leo nchini Ufaransa[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bruno wa Eguisheim-Dagsburg.

Alimfuata Papa Damaso II akafuatwa na Papa Viktor II.

Alitangazwa na Papa Gregori VII kuwa mtakatifu mwaka 1082.

Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake[3].

Kweli alikuwa Papa bora kutoka Ujerumani katika Karne za Kati, ingawa wakati wa utawala wake lilitokea farakano na Kanisa la Kigiriki (Farakano la mwaka 1054).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.