Papa Paskali I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Paschal I)
Jump to navigation Jump to search
Mt. Paskali I.

Papa Paskali I alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Januari 817 hadi kifo chake mnamo Februari/Mei 824[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Paskale Massimi, mwana wa Bonosus.

Alimfuata Papa Stefano IV akafuatwa na Papa Eugenio II.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 11 Februari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • John N.D. Kelly, Gran Dizionario Illustrato dei Papi, Edizioni Piemme S.p.A., 1989, Casale Monferrato (AL), ISBN 88-384-1326-6
  • Claudio Rendina, I papi, Ed. Newton Compton, Roma, 1990

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Paskali I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.