Hati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hati (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: document) ni maandishi maalumu, kama vile waraka wa kisheria, yanayothibitisha jambo, kwa mfano malipo au makubaliano.

Kuna aina nyingi za hati, kama vile:

  • hati aminisho
  • hati gawio
  • hati hawilifu
  • hati kinga
  • hati mkopo
  • hati taarifa
  • hati tambulishi
  • hati upokeaji
  • hati usafirishaji
  • hati uzani.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hati kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.