Papa Theodor II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Theodori II)
Jump to navigation Jump to search
Papa Theodori II.

Papa Theodor II alikuwa Papa kwa siku ishirini hadi kifo chake mwezi wa Desemba 897.

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Theodorus.

Alimfuata Papa Romanus akafuatwa na Papa Yohane IX.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Theodor II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.