Papa Honorius I
(Elekezwa kutoka Papa Honori I)

Papa Honorius I alikuwa Papa kuanzia tarehe 27 Oktoba 625 hadi kifo chake tarehe 12 Oktoba 638[1]. Alitokea Campania, Italia[2].
Alimfuata Papa Bonifasi V akafuatwa na Papa Severino.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |