27 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Oktoba ni siku ya 300 ya mwaka (ya 301 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 65.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1728 - James Cook, mpelelezi kutoka Uingereza
- 1844 - Klas Pontus Arnoldson, mwanasiasa Mswidi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908
- 1858 - Theodore Roosevelt, Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1906
- 1917 - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 1932 - Sylvia Plath, mshairi wa Marekani
- 1943 - George Cain, mwandishi wa Marekani
- 1978 - Mrisho Mpoto, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1985 - Hussein Mkiety, maarufu kama Sharo Milionea, alikuwa msanii na mchekeshajikutoka nchini Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1980 - John Van Vleck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
- 2008 - Ezekiel Mphahlele, mwandishi kutoka Afrika Kusini
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Evaristi, Trasea wa Eumenia, Gaudioso wa Napoli n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |