11 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1962 - Ufunguzi wa Mtaguso wa pili wa Vatikano
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1990 - Abdul Uledi Millanzi (Mzalendo kutoka Tanzania )
- 1884 - Friedrich Bergius (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931)
- 1885 - Francois Mauriac (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1952)
- 1971 - MC Lyte, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1303 - Papa Boniface VIII
- 1896 - Anton Bruckner, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 1919 - Karl Gjellerup (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1917)
- 1963 - Édith Piaf, mwimbaji wa kike kutoka Ufaransa