3 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1932 - Nchi ya Iraq inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 1990 - Ujerumani imeunganika tena kuwa nchi moja. Mikoa yote ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani inajiunga na Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1458 - Kasimir Mtakatifu, mwana mfalme wa Poland
- 1904 - Charles Pedersen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 1947 - Feetham Filipo Banyikwa, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1226 - Fransisko wa Asizi, shemasi, mwanzilishi wa Ndugu Wadogo
- 1929 - Gustav Stresemann, mwanasiasa Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1926