Sylvia Plath

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi ya Sylvia Plath.

Sylvia Plath (27 Oktoba 193211 Februari 1963) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani.

Plath alikuwa na unyogovu kwa sehemu kubwa ya maisha yake, hadi akajiua.

Alipewa Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mwaka wa 1982, yaani miaka mingi baada ya kifo chake.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sylvia Plath kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.