Trasea wa Eumenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Trasea wa Eumenia (alifariki karibu na Smirna, leo Izmir, nchini Uturuki, 170/180 hivi) alikuwa askofu wa mji huo wa mkoa wa Frigia, aliyefia dini yake katika dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Oktoba.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/75410
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.