22 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 22 Oktoba ni siku ya 295 ya mwaka (ya 296 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 70.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1197 - Juntoku, mfalme mkuu wa Japani (1210-1221)
- 1811 - Franz Liszt, mtunzi na mpiga kinanda kutoka Hungaria
- 1870 - Ivan Bunin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1933
- 1881 - Clinton Davisson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
- 1903 - George Beadle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958
- 1906 - Sidney Kingsley, mwandishi kutoka Marekani
- 1919 - Doris Lessing, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2007
- 1967 - Carlos Mencia, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1973 - Ichiro Suzuki, mchezaji wa baseball kutoka Japani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1986 - Albert Szent-Györgyi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1937
- 1990 - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Yohane Paulo II, Marko wa Yerusalemu, Abersi, Filipo na Herme, Maloni wa Rouen, Valeri wa Langres, Lupensi, Leotaldi, Moderani, Benedikto wa Masserac, Nunilona na Alodia, Donato Mskoti n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 12 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 22 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |