Donato Mskoti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Donato (kulia) na Yohane Mbatizaji mbele ya Bikira Maria.

Donato Mskoti (Ireland, mwishoni mwa karne ya 8; Italia ya leo, 876 hivi) alikuwa askofu wa Fiesole kuanzia mwaka 829[1].

Kabla ya hapo alilelewa na wamonaki na kupata elimu kubwa akawa mwalimu na mshairi[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Oktoba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Staley, Tony (18 October 2012). "A chance election as bishop". The Compass - Catholic Diocese of Green Bay, Wisconsin. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 September 2017. Iliwekwa mnamo 13 September 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. He himself did not disdain to teach "the art of metrical composition". His Life of Saint Brigid is interspersed with short poems of his own composition. The best known of these is the twelve-line poem in which he describes the beauty and fertility of his native land, and the prowess and piety of its inhabitants. Donatus also composed an epitaph in which he alludes to his birth in Ireland, his years in the service of the princes of Italy (Lothair and Louis), his episcopate at Fiesole, and his activity as a teacher of grammar and poetry. Like St. Columkille, Donatus always cherished a tender regretful love for Ireland; and like him also he wrote a short poem in praise of it which is still preserved. It is in Latin, and the following is a translation, made by a Dublin poet many years ago:

    Far westward lies an isle of ancient fame, By nature bless'd; and Scotia is her name,

    Enroll'd in books: exhaustless is her store, Of veiny silver, and of golden ore. Her fruitful soil, for ever teems with wealth, With gems her waters, and her air with health; Her verdant fields with milk and honey flow;Her woolly fleeces vie with virgin snow; Her waving furrows float with bearded corn; And arms and arts her envied sons adorn! No savage bear, with lawless fury roves, Nor fiercer lion, through her peaceful groves; No poison there infects, no scaly snake Creeps through the grass, nor frog annoys the lake;

    An island worthy of its pious race, In war triumphant, and unmatch'd in peace!

  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.