Filipo na Herme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Filipo na Herme (walifariki Edirne, leo nchini Uturuki, 303 hivi) walikuwa askofu wa Marmara Ereğli na shemasi wake waliofia dini ya Ukristo katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.