Nenda kwa yaliyomo

Valeri wa Langres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Valeri wa Langres (pia: Valère au Vallier; karne ya 4 - karibu na Besancon, Ufaransa, 22 Oktoba 411) alikuwa shemasi mkuu wa Langres [1].

Aliuawa na Wavandali baada ya askofu wake Desideri.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Oktoba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.