Abersi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nakala ya maandishi juu ya kaburi lake ambayo kwa sasa yanatunzwa Roma.

Abersi (alifariki 167 hivi) alikuwa Mkristo wa karne ya 2 aliyepata kuwa askofu wa Hieropoli, Frigia, katika Uturuki ya leo[1]. Alifariki gerezani alipofungwa katika dhuluma ya kaisari Marko Aurelio[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Oktoba[3].

Maandishi[hariri | hariri chanzo]

Abersi ni maarufu katika historia ya Ukristo kwa sababu ya maandishi aliyoyata juu ya kaburi lake, ambamo aliacha kumbukumbu ya safari zake hadi Roma na Nisibi akisema kote alikuta Wakristo wenzake[4].

Maandishi yake mengine yamepotea[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Ramsay, W. M. (1882). "The Tale of Saint Abercius". The Journal of Hellenic Studies 3: 339–353. doi:10.2307/623544 . https://zenodo.org/record/1969321.
  2. St. Abercius Marcellus – Catholic Online. Jalada kutoka ya awali juu ya 7 August 2007. Iliwekwa mnamo 2007-09-08.
  3. Martyrologium Romanum
  4. https://en.wikisource.org/wiki/Catholic_Encyclopedia_(1913)/Inscription_of_Abercius
  5. Christie, Albany James (1867). Dictionary of Greek and Roman Biography and Mythology 1, 2. 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co., 1924.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.