25 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 25 Oktoba ni sikukuu ya Mtakatifu Cuthbert Mayne.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1187 - Uchaguzi wa Papa Gregori VIII
- 1241 - Uchaguzi wa Papa Celestino IV
- 1971 - Mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa uliamua ya kuwa Jamhuri ya Watu wa China ni mwakilishi halisi wa China kwenye UM, na Jamhuri ya China ilifukuzwa hivyo.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1881 - Pablo Picasso, mchoraji kutoka Hispania
- 1913 - Klaus Barbie, mwanajeshi wa SS ya Adolf Hitler
- 1914 - John Berryman, mshairi kutoka Marekani
- 1948 - Tarcisius Ngalalekumtwa, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 625 - Papa Boniface V
- 1400 - Geoffrey Chaucer, mwandishi na mwanafalsafa Mwingereza
- 1973 - Abebe Bikila (mwanariadha Mhabeshi)