Nenda kwa yaliyomo

Moderani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Moderano (kushoto) kwenye lango la kanisa la Berceto.

Moderani, O.S.B. (pia: Moderan, Moderamnus, Moderanno, Moderano, Modran, Moran; Bretagne, karne ya 7 - Berceto, Italia, 22 Oktoba 730) alikuwa askofu wa Rennes, Ufaransa hadi mwaka 720.

Kwa kupenda upweke na kuheshimu patakatifu aliishia kuwa abati wa monasteri ya Wabenedikto kwenye milima ya Apenini [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • (Kilatini) Jean-Barthélemy Hauréau, Gallia Christiana, vol. XIV Provincia Turonensi, Paris, Firmin-Didot, 1856, p. 713 Ecclesia Redonensis IX Moderannus.
  • (Kiitalia) Ranuccio Pico, Cenni storici della vita di S. Abondio, Diacono martire, e dei SS. Broccardo e Moderanno, vescovi venerati a Berceto, tolti dall'opera "Teatro dei santi e beati della città di Parma e suo territorio", pubblicata nell'anno 1522, coll'aggiunta di altra biografia di San Moderanno scritta in latino dal benedettino P. Mauruskinter nell'anno 1887, Berceto 1898
  • (Kiitalia) Giulia Meucci, Il piviale di San Moderanno a Berceto, in "Archivio storico per le province parmensi", LIV (2002), pp. 101-124
  • (Kiitalia) Simone Biondi, Moderanno da Rennes abate di Berceto: spunti per una ricerca, in: Pagani e cristiani, vol. 4, Bologna 2004, pp. 89-108
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.