Clinton Davisson
Mandhari
Clinton Joseph Davisson (22 Oktoba 1881 – 1 Februari 1958) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza elektroni. Mwaka wa 1937, pamoja na George Thomson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Clinton Davisson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |