31 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 31 Oktoba ni siku ya 304 ya mwaka (ya 305 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 61.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1517 - Martin Luther anatolea "Hoja 95 dhidi ya madekezo": ndio mwanzo wa Matengenezo ya Kiprotestanti
- 1919 - Nchi ya Iraq inapata uhuru kutoka Uturuki
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1618 - Mtakatifu Maria Ana wa Yesu, bikira Mfransisko kutoka Ekwador
- 1705 - Papa Klementi XIV
- 1835 - Adolf von Baeyer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1905
- 1880 - Julia Peterkin, mwandishi kutoka Marekani
- 1920 - Dedan Kimathi, kiongozi wa Mau Mau nchini Kenya
- 1925 - John Pople, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1998
- 1929 - Bud Spencer, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 1973 - Beverly Lynne
- 1990 - JID, rapa wa Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1960 - Harold L. Davis, mwandishi kutoka Marekani
- 1986 - Robert Mulliken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1966
- 1993 - Federico Fellini, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 2006 - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
- 2020 - Sean Connery
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Epimako wa Pelusi, Kwintino, Antonino wa Milano, Volfang, Alfonso Rodriguez n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 12 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- Today in Canadian History[dead link]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 31 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |