Antonino wa Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonino wa Milano (alifariki Milano, Italia, 661 hivi) alikuwa Askofu wa mji huo chini ya Walongobardi ambao aliwaelekeza kuungana zaidi na wenyeji kwa kujiunga na Kanisa Katoliki badala ya kuendelea na Uario[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.