John Pople

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Pople

Sir John Anthony Pople (31 Oktoba 192515 Machi 2004) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1998, pamoja na Walter Kohn alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Pople kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.