Nenda kwa yaliyomo

Federico Fellini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Federico Fellini.

Federico Fellini (amezaliwa tar. 20 Januari 1920 mjini Rimini - amefariki mjini Roma, 31 Oktoba 1993) alikuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu wa Kitaliano. Filamu za Fellini zilikuwa zikihusu mambo ya ukumbusho, ndoto na fantasia au uzushi-vichekesho.

Filamu za Federico Fellini[hariri | hariri chanzo]

 • Luci del varietà (1950)
 • Lo Sceicco Bianco (1951)
 • I Vitelloni (1953)
 • La Strada (1954) Oscar (filamu bora ya kigeni)
 • Le Notti di Cabiria (1957) Oscar (filamu bora ya kigeni)
 • La Dolce Vita (1960) Oscar (filamu bora)
 • 8 1/2 (1963) 2 Oscar (filamu bora ya kigeni)
 • Giulietta degli Spiriti (1965)
 • Satyricon (1969)
 • I Clowns (1970)
 • Roma (1972)
 • Amarcord (1973) Oscar (filamu bora)
 • Casanova (1976)
 • Prova d'Orchestra (1979)
 • La Citta' delle Donne (1980)
 • E la nave va (1983)
 • Ginger and Fred (1986)
 • Intervista (1987)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Federico Fellini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.