Julia Peterkin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Caption text


Julia Mood Peterkin (31 Oktoba 188010 Agosti 1961) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1929, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Scarlet Sister Mary.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julia Peterkin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.