Papa Klementi XIV
Jump to navigation
Jump to search
Papa Klementi XIV, O.F.M.Conv. (31 Oktoba 1705 – 22 Septemba 1774) alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Mei 1769 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Vincenzo Antonio Ganganelli.
Alimfuata Papa Klementi XIII akafuatwa na Papa Pius VI.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi XIV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |