Papa Boniface IX

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Bonifasi IX)
Jump to navigation Jump to search
Papa Bonifasi IX.

Papa Boniface IX (13561 Oktoba 1404) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Novemba 1389 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Piero Tomacelli.

Alimfuata Papa Urbano VI akafuatwa na Papa Inosenti VII.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.