Papa Gregori X

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mwenye heri Gregori X.

Papa Gregori X (takriban 121010 Januari 1276) alikuwa Papa kuanzia mwezi Septemba 1271 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tebaldo Visconti. Uchaguzi wake ulichukua muda mrefu kuliko zote (miaka mitatu).

Alimfuata Papa Klementi IV akafuatwa na Papa Inosenti V.

Tarehe 8 Julai 1673 Papa Klementi XI alimtangaza mwenye heri.

Sikukuu yake hadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.