Piacenza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mji wa Piacenza

Piacenza ni mji wa mkoa wa Emilia-Romagna, Italia Kaskazini.

Mji una wakazi 102,269 na hivyo ni wa 44 nchini Italia.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Piacenza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.