Papa Innocent X
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti X)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Innocent X (6 Mei 1574 – 7 Januari 1655) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15 Septemba 1644 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Pamphilj.
Alimfuata Papa Urbano VIII akafuatwa na Papa Aleksanda VII.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Papa Innocent X katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |