Papa Gregori IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Gregori IV.

Papa Gregori IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Septemba 827 hadi kifo chake tarehe 11 Januari 844.

Alimfuata Papa Valentino akafuatwa na Papa Sergio II.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.