Nenda kwa yaliyomo

Papa Sergio II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Sergio II.

Papa Sergio II alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Januari 844 hadi kifo chake tarehe 27 Januari 847[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Gregori IV akafuatwa na Papa Leo IV.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sergio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.