Papa Pontian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Pontian

Papa Pontian (kwa Kilatini Pontianus) alikuwa papa kuanzia 21 Julai 230 hadi kifo chake tarehe 28 Septemba 235. Alimfuata Papa Urbano I akafuatwa na Papa Anterus.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini, hasa tarehe 13 Agosti.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Calendarium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 1969), p. 146

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pontian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.