Hipoliti wa Roma
Hipoliti wa Roma (170–235) alikuwa mwanateolojia muhimu zaidi wa Kanisa la Roma katika karne ya 3. Labda alizaliwa mjini Roma[1], lakini alipendelea kuandika kwa Kigiriki kuliko kwa Kilatini ambacho kilikuwa kinazidi kutumika katika Kanisa hilo badala ya lugha ya kimataifa iliyotumika tangu wakati wa Mitume Petro na Paulo.
Inasemekana alianza kushindana na mapapa wa wakati wake kuhusu toba ya walioasi katika dhuluma za serikali ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo. Anatajwa kama antipapa wa kwanza kwa kuanzisha farakano [2]. Hata hivyo habari hiyo na nyingine nyingi juu yake hazina hakika.
Hatimaye alipatana na Papa Pontian wakiwa uhamishoni katika kisiwa cha Sardinia walipofia dini yao.
Ndiyo sababu tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini, hasa tarehe 13 Agosti[3] ambayo ndiyo sikukuu yake.
Umuhimu wake
[hariri | hariri chanzo]Maandishi yake yana umuhimu mkubwa upande wa teolojia, wa liturujia na wa sheria za Kanisa vilevile.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa Kanisa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Trigilio, John; Brighenti, Kenneth. Saints For Dummies. For Dummies, 2010. p. 82. Web. 20 Apr. 2011.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92196
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Hans Achelis, Hippolytstudien (Leipzig, 1897)
- Adhémar d'Ales, La Théologie de Saint Hippolyte (Paris, 1906). (G.K.)
- Bunsen, Hippolytus and his Age (1852, 2nd ed., 1854; Ger. ed., 1853)
- Cross, F. L. (2005). The Oxford Dictionary of the Christian Church. Oxford University Press.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Döllinger, Hippolytus und Kallistus (Regensb. 1853; Eng. transl., Edinb., 1876)
- Gerhard Ficker, Studien zur Hippolytfrage (Leipzig, 1893)
- Froom, Le Roy Edwin (1948). The Prophetic Faith of Our fathers, Vol. 1. Review and Herald Publishing Association.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Hippolytus (170–236). Commentary on Daniel, The Ante-Nicene Fathers, Vol 5.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Hippolytus (170–236b). Treatise on Christ and Antichrist, The Ante-Nicene Fathers, Vol 5.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Hippolytus, The Treatise on the Apostolic Tradition of St. Hippolytus of Rome, Bishop and Martyr. Trans Gregory Dix. (London: Alban Press, 1992)
- J. B. Lightfoot, The Apostolic Fathers vol. i, part ii (London, 1889–1890).
- Mansfeld, Jaap (1997). Prolegomena: Questions to be Settled before the Study of an Author or a Text. Brill Academic Publishers.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Karl Johannes Neumann, Hippolytus von Rom in seiner Stellung zu Staat und Welt, part i (Leipzig, 1902)
- Smith, Yancy W. (2008). Hippolytus' Commentary On the Song of Songs in Social and Critical Context. Brite Divinity School at Texas Christian University.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Brent, Allen (1995). Hippolytus and the Roman church in the third century : communities in tension before the emergence of a monarch-bishop. Leiden: Brill. ISBN 90-04-10245-0.
- Cerrato, J. A. (2002). Hippolytus between East and West : the commentaries and the provenance of the corpus. Oxford: Oxford University Press. ISBN 0-19-924696-3.
- Eusebius (1927). The Ecclesiastical History and the Martyrs of Palestine. Hugh Jackson Lawlor and John Ernest Leonard Oulton, trans. London: Macmillan.
- Grant, Robert (1970). Augustus to Constantine: The Thrust of the Christian Movement into the Roman World. New York: Harper and Row.
- Hippolytus (1934). Easton, Burton Scott (mhr.). The Apostolic Tradition of Hippolytus. New York: Macmillan.
- Hippolytus (2001). On the Apostolic Tradition: an English Version with Introd. and Commentary by Alistair Stewart-Sykes, in Popular Patristics Series. Crestwood, N.Y.: St. Vladimir's Seminary Press. ISBN 0-88141-233-3
- Mansfeld, Jaap (1992). Heresiography in context : Hippolytus' Elenchos as a source for Greek philosophy. Leiden: Brill. ISBN 90-04-09616-7.
- Quasten, Johannes (1953). Patrology: the Anti-Nicene literature after Irenaeus. Westminster, MD: Newman.
- Roberts, Alexander; Donaldson, Sir James; Coxe, A. Cleveland, whr. (1971). The Ante-Nicene fathers : Translations of the writings of the fathers down to A.D. 325: Hippolytus, Cyprian, Caius, Novatian, appendix. Juz. la 5. Grand Rapids, MI: Eerdmans.
- Wordsworth, Christopher (1880). St. Hippolytus and the Church of Rome in the Early Part of the Third Century (tol. la 2nd). London: Rivingtons.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Ante Nicene Fathers Vol. 5: Fathers of the Third Century: Hippolytus, Cyprian, Caius, Novatian, Appendix.
- Against Noetus
- Refutation of All Heresies
- Catholic Encyclopedia: St. Hippolytus of Rome
- Encyclopaedia Britannica, Hippolytus of Rome
- The Apostolic Tradition of Hippolytus of Rome Archived 8 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- Hieromartyr Hippolytus the Pope of Rome (January 30) Orthodox icon and synaxarion
- Martyr Hippolytus of Rome (August 13)
- The Holy Martyr Hippolytus Archived 12 Juni 2011 at the Wayback Machine. the Prologue from Ochrid by Nikolai Velimirovic
- Philosophumena; or, The refutation of all heresies, formerly attributed to Origen of Alexandria, but now to Hippolytus, bishop and martyr, who flourished about 220 A.D. Translated from the text of Cruice at the Internet Archive.
- Patron Saints Index: Hippolytus Archived 24 Machi 2008 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |