Antipapa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Antipapa (kutoka Kilatini ambapo lina maana ya "Mpingapapa") ni jina linalotumiwa na wanahistoria kumtajia askofu yeyote aliyejidai kuwa Papa wa Roma, lakini madai yake hayakukubaliwa na wengi wakati wake, au hayakubaliwi na Kanisa Katoliki wakati huu.