Papa Gregori II
Mandhari
Papa Gregori II alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Mei 715 hadi kifo chake tarehe 11 Februari 731[1][2]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[3].
Alimfuata Papa Konstantino akafuatwa na Papa Gregori III.
Alimpinga kishujaa Kaisari Leo V kuhusu heshima kwa picha takatifu na kuimarisha mamlaka ya Papa katika Kanisa la Magharibi.
Ndiye aliyemtuma Bonifasi kuinjilisha Ujerumani.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 11 Februari[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Mapapa
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ Mann, Horace. "Pope St. Gregory II." The Catholic Encyclopedia Vol. 6. New York: Robert Appleton Company, 1909. 18 September 2017
- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Ekonomou, Andrew J., Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern Influences on Rome and the Papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752 (2007)
- Levillain, Philippe, The Papacy: Gaius-Proxies, Routledge (2002)
- Treadgold, Warren, A History of the Byzantine State and Society (1997)
- Mann, Horace K., The Lives of the Popes in the Early Middle Ages, Vol. I: The Popes Under the Lombard Rule, Part 2, 657–795 (1903)
- Bury, John Bagnall, A History of the Later Roman Empire From Arcadius to Irene, Vol. II (1889)
- Annette Grabowsky: Gregor II. In: Germanische Altertumskunde Online (nur bei De Gruyter Online verfügbarer Artikel mit umfassenden Quellen- und Literaturangaben) 2014.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |